[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » EDUCATION » MATHEMATICS » Kuna tatizo gani katika somo la mathematics?
Kuna tatizo gani katika somo la mathematics?
JuddyDate: Wednesday, 24/Jul/2013, 13:25 | Message # 1
Sergeant
Messages: 25
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
jamani nina swali moja muhimu sana hebu tuliangalie, kwann wanafunzi wengi sana wanachukia sana somo la Mathematics, tatizo ni kukosa waalimu, au kukatishana tamaa, au kitu gani? maana naona wanafunzi wengi wanatamani somo hilo lifutwe kabisa.

Never Trust 100% for first time meeting, Remember Even long finger nails can be hidden behind.
 
seifDate: Wednesday, 24/Jul/2013, 13:33 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
mi nadhani ni ukosefu wa msingi bora wa somo hilo, wanafunzi wengi wamekosa msingi bora na kusem aukweli Mathematics ni somo ambalo ukikosa mada ya nyuma basi ujue ya mbele itakuwa ngumu kwani mada za mathematics huwa zinategemeana, kwa mfano mdoogo tu huwezi kujua hesabu za kizidisha kama hujui kujumlisha, na huwezi kujua kugawany akw anjia ndefu kama hujui kutoa, huwezi kufahamu hjesabu za sehemu kama hujui K.D.S na K.K.S na kuna mifano mingi kama hiyo najua kiola mtu anafahamu, ila kikubw ani kwamba wanafunzi wanaohitaji hasa kufahamu na kufaulu somo hili inabidi waanze mbali katika msingi wake na sio kukurupuka tu kusoma mada z ajuu wakati mada za chini hawazijui.

Yes I can
 
RemdDate: Wednesday, 24/Jul/2013, 13:45 | Message # 3
Private
Messages: 18
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
kuna mada moja humu katika Makala za Staryte nimeisoma muda mrefu sana inahusu suala hilohilo linki yake ni hii hapa yaani imeeleza kwa kirefu kabisa tatizo hili na jinsi linavyoweza kutatuliwa, huwezi kuamaini sababu ni ndogo mno na mimi nilipoisoma nikajaribu kufanya kautafiti kidogo ebwana eee kweli huu ugonjwa wa Taifa Bofya hapa

http://staryte.ucoz.com/publ/education/somo_la_mathematics_kuitwa_ugonjwa_wa_taifa_kwa_wanafunzi/4-1-0-117


Message edited by Remd - Wednesday, 24/Jul/2013, 13:50
 
Miss_NeeluDate: Friday, 26/Jul/2013, 19:10 | Message # 4
Sergeant
Messages: 26
Awards: 0
Reputation: 1
Status: Offline
ooow ndio maana utaona wanafunzi wakifika form four wanaanza tuition lakini hawafaulu. kumbe wanasoma tu zile topic za form three na four na unakuta wanasahau topic ndogo za msingi, nimeisoma hiyo makala
 
badshahDate: Sunday, 05/Nov/2017, 19:16 | Message # 5
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline

  • duh
  • si mchezo
  • inahitaji kazi sana
 
Forum » EDUCATION » MATHEMATICS » Kuna tatizo gani katika somo la mathematics?
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: