[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » uwoga wa hivi mh!!
uwoga wa hivi mh!!
SalhaDate: Friday, 24/May/2013, 02:24 | Message # 1
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Jamaa alipata urithi wa shilingi milioni 20, kwa kuzihifadhialiona ni bora aende sehemu azifukie chini. Basi akaenda mbali sana mpaka
sehemu moja, kisha akachimba shimo chini ya mti mmoja hivi na kuzifukia zile
fedha zote humo.
Ili asipoteze kumbukumbu ya mahali hapo ikabidi arudi hatua
kama 10 hivi na kupiga picha ule mti ili aukumbuke pale atakapohitaji fedha
zake.
Basi aliporudi nyumbani kwake akaitazama ile picha
aliyopiga, mara akashituka sana kuona juu ya ule mti kuna mtu alikuwepo tena
akiwa anachekelea sana.
 
seifDate: Tuesday, 11/Jun/2013, 10:33 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Quote (Salha)
kashituka sana kuona juu ya ule mti kuna mtu alikuwepo tenaakiwa anachekelea sana.
hahahahahaha ooooow nyc


Yes I can
 
SalhaDate: Tuesday, 11/Jun/2013, 10:37 | Message # 3
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
You are welcome hans biggrin
 
badshahDate: Sunday, 14/Jul/2013, 12:33 | Message # 4
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
hahahahahahahahaha happy
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » uwoga wa hivi mh!!
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: