[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » John na tikitimaji
John na tikitimaji
donDate: Wednesday, 05/Apr/2017, 21:35 | Message # 1
Private
Messages: 11
Awards: 1
Reputation: 0
Status: Offline
Kulitokea Majamaa watatu John juma na James, sasa walienda kwenye nchi nyingine bila passport wala documents zozote wakakamatwa na police, wakaambiwa kama wanataka msamaha kila mmoja aliambiwa akalete matunda kumi, wakaenda.

Akaanza juma akaja na machungwa 10 akaambiwa ayameze bila ya kutafuna akaanza kumeza akatoa machozi wale police wakam shoot na pistol, akaja James na zabibu 10 akaambiwa amaze bila kutafuna akaanza 1 2 3 4 5 6 7 8 9 baada ya kumeza akacheka wale police wakam shoot.

Sasa kwenye vivuli vyao juma akamuuliza James, mbona wewe ulikuwa na matunda madogo lakini ulicheka?

James akamwambia juma, nimemcheka John anakuja na matikiti maji!!!!! happy
 
AdminDate: Wednesday, 05/Apr/2017, 21:49 | Message # 2
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Offline
happy ^_^  
 
RemdDate: Wednesday, 05/Apr/2017, 22:43 | Message # 3
Private
Messages: 18
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
happy  hiyo imetulia Mzee Don.
 
zakwanDate: Thursday, 06/Apr/2017, 21:54 | Message # 4
Private
Messages: 4
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Mm nimekuja na nini?
 
AdminDate: Thursday, 06/Apr/2017, 22:36 | Message # 5
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Offline
We umekuja na mafenesi
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » John na tikitimaji
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: