[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?
ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?
allyPDate: Saturday, 21/Sep/2013, 11:01 | Message # 1
Sergeant
Messages: 27
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Wakati benk inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLIS TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahil press 1 for english press 2, nkabonyeza 1, saut ikasema kwa ajal ya barabaran au moto bonyeza 1
kwa ujambaz bonyeza 2, nikabonyeza 2, saut ikasema:
kama majambaz wana rungu, panga na visu bonyeza 1, pisto bonyeza 2,
SMG bonyeza 3,
AK 47 bonyeza 4,
bomu bonyeza 5
kama wanavyo vyote bonyeza 6, nikabonyeza 6.
Saut ikasema mmh! Ndugu yangu ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?Jibu 2one


I miss uuuuuuuuuuuuuuuu alllllllllll!!!! Am here for you friends
 
seifDate: Thursday, 26/Sep/2013, 00:16 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
hahahahahaha

Yes I can
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: