[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Mashindano ya waganga
Mashindano ya waganga
RemdDate: Saturday, 24/Aug/2013, 13:09 | Message # 1
Private
Messages: 18
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Kulikuwa na safari ya waganga watatu kutoka Tanga kuelekea Dar kwaajili ya kwenda kufanya tiba fulani kwa tajiri mmoja, katika mazungumzo ya hapa na pale wakiwa na tajiri yao ikabidi washindane kuona nani ni mganga mkali zaidi ya mwenzake. Wakiwa Njiani Wale waganga wakapimana nguvu ili kila m2 kumwonyesha mzee uwezo.

Mambo Yakawa Hivi Wa1 Akanyoosha Kidole Juu Mvua Ya Maana Ikanyesha Akarudia Ikaacha, Wa2 Akapiga kofi Tairi Zote Zikapata Pancha Na Bado Gari Mwendo Ni Uleule Akarudia Tena Upepo Ukajaa Akatangaza Ubingwa. Wakat Wanafika UBUNGO Wa3 Akakohoa Wakajikuta Bado Wapo Tanga Wanaanza Safari Nani Mkali?

 
Miss_NeeluDate: Saturday, 24/Aug/2013, 13:12 | Message # 2
Sergeant
Messages: 26
Awards: 0
Reputation: 1
Status: Offline
aaahahahaa  nimeipenda hiyo
 
alkastarDate: Monday, 26/Aug/2013, 21:10 | Message # 3
Private
Messages: 4
Awards: 4
Reputation: 0
Status: Offline
hahaha great!!!! 
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Mashindano ya waganga
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: