[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » This is chama The informative soma hii
This is chama The informative soma hii
allyPDate: Wednesday, 21/Aug/2013, 19:20 | Message # 1
Sergeant
Messages: 27
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
JAMAA ALIKUWA AMEJIPUMZISHA BEACH, MARA AKAPITAMZUNGU AKAMUULIZA "Are you relaxing?" JAMAA AKAJIBU No! AKAPITA TENA
MZUNGU WA PILI AKAMUULIZA "Are you Relaxing" Jamaa akajibu tena No!..
jamaa akaona huu sasa ni usumbufu ikabidi atoke sehemu ile aende sehemu
nyingine ili akajipuzishe kwa utulivu, huko akamkuta mzungu mmoja akiwa naye
amejipumzisha jamaa akamuuliza yule mzungu "Are you Relaxing?" Mzungu
akajibu Yes!
Jamaa akampiga makofi,
Pumbaavvv we unatafutwa sanakila saa ndugu zako wanapitapita pale na kukuulizia kumbe Relaxing uko hapa
umejikalia tu!!
 


I miss uuuuuuuuuuuuuuuu alllllllllll!!!! Am here for you friends
 
NadyaDate: Wednesday, 21/Aug/2013, 19:23 | Message # 2
Sergeant
Messages: 20
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
hahahaha kali hiiii

Time time before time times you
 
badshahDate: Thursday, 22/Aug/2013, 12:50 | Message # 3
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
hahahaha lugha gongana
 
zakwanDate: Saturday, 08/Apr/2017, 07:06 | Message # 4
Private
Messages: 4
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Duh kizungu Nazi lakini so kwangu
 
donDate: Wednesday, 26/Apr/2017, 20:19 | Message # 5
Private
Messages: 11
Awards: 1
Reputation: 0
Status: Offline
Hahahha hiyo kali
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » This is chama The informative soma hii
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: