[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » aahahaha msinibanie kicheko jamani
aahahaha msinibanie kicheko jamani
seifDate: Tuesday, 23/Jul/2013, 18:00 | Message # 1
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
jamaa wawili walikuwa wakivua samaki, sasa mida ya jioni wakati wanarudi walikuwa na haraka sana kwani jua lilikuwa tayari linazama kiasi ambacho walidondosha samaki wawili, wakaenda mpaka makaburini vichakani ili wagawane halafu kila mtu aende na njia yake ikawa hivi... wangu, wako, wangu, wako, wangu wako, wangu, wako. wakati mgao unaendelea kuna jamaa alikuwa akipita karibu na vichaka akasikia mgao huo... mbiooooo mpaka polisi:

jamaa: Polisi, nimesikia wachawi wakigawana maiti kule makaburini fanya haraka twende wataondoka.

walipofika, kweli askari na yule jamaa wakajibanza pembeni ya vile vichaka wakasikia ule mgao wangu, wako, wangu, wako, wangu wako, wangu, wako. baada ya wale samaki kuisha sasa, mmoja akasema " Na wale kule wawili!!!" daaaaaaahhh Askari na Mshitaki wake walitoka baruti wakijua kuwa wameonekana na wachawi na wanatakiwa kugawanywa, kumbe yule jamaa alimaanisha wale samaki wawili waliowadondosha kule ziwani.


Yes I can
 
badshahDate: Tuesday, 23/Jul/2013, 18:04 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
Hahahahahaha hiyo kali sana lol
 
NadyaDate: Wednesday, 24/Jul/2013, 13:12 | Message # 3
Sergeant
Messages: 20
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
hahaha yeah nimeipenda sana yaani hapa naonekana kama tahira kwa kucheka hahahaha

Time time before time times you
 
donDate: Saturday, 01/Apr/2017, 21:39 | Message # 4
Private
Messages: 11
Awards: 1
Reputation: 0
Status: Offline
oya hii story sio poa hahaha happy i really like it
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » aahahaha msinibanie kicheko jamani
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: