[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Jamaa kataga bwana duh!!
Jamaa kataga bwana duh!!
seifDate: Thursday, 18/Jul/2013, 12:46 | Message # 1
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni.
Akiwa huko, aliambiwa na malaika kuwa ametolewa roho kwa bahati mbaya
hivyo atarudishwa duniani kama mnyama. Kijana nae akachagua awe kuku.
Mara akajikuta yupo ndani ya kibanda huku akipata hisia asiyoifahamu.
Akamuuliza jogoo alokua pembeni yake, ni hisia gani hii? Jogoo akamuuliza,
ushawahi kutaga wewe? Akajibu bado. Jogoo akamwambia, hilo ni yai linataka kutoka
hivyo kamua kwa nguvu. Akakamua mara ya kwanza, likatoka yai. Akaendelea kukamua tena,
likatoka yai jengine. Ghafla akasikia mtu anamuamsha, wewe mbona unakunya kitandani!
Dah! Ndoto nyengine bwana.


Yes I can
 
SalhaDate: Saturday, 20/Jul/2013, 15:48 | Message # 2
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
hahahaha haya uko juu my bro!
 
badshahDate: Friday, 26/Jul/2013, 19:20 | Message # 3
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
kazi ipo kwelikweli
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Jamaa kataga bwana duh!!
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: