[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Kituko hiki but Nimekopi
Kituko hiki but Nimekopi
JuddyDate: Thursday, 18/Jul/2013, 12:43 | Message # 1
Sergeant
Messages: 25
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Jamaa alipata urithi wa shilingi milioni 20, kwa kuzihifadhi aliona ni bora aende sehemu azifukie chini. Basi akaenda mbali sana mpaka sehemu moja, kisha akachimba shimo chini ya mti mmoja hivi na kuzifukia zile fedha zote humo.
Ili asipoteze kumbukumbu ya mahali hapo ikabidi arudi hatua kama 10 hivi na kupiga picha ule mti ili aukumbuke pale atakapohitaji fedha zake.
Basi aliporudi nyumbani kwake akaitazama ile picha aliyopiga, mara akashituka sana kuona juu ya ule mti kuna mtu alikuwepo tena akiwa anachekelea sana.


Never Trust 100% for first time meeting, Remember Even long finger nails can be hidden behind.
 
seifDate: Thursday, 18/Jul/2013, 12:45 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
huyo mtu ni mimi ndio maana sasa hivi niko rich meeeeeeeeeeeeeeeeennnn

Yes I can
 
badshahDate: Wednesday, 21/Aug/2013, 16:13 | Message # 3
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
ooow hahahahaha hiyo kali hata mwisho sifiki,  kama ni mimi najiua ..........
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Kituko hiki but Nimekopi
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: