[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Mbuzi na Jamaa
Mbuzi na Jamaa
zulfaDate: Saturday, 22/Jun/2013, 20:02 | Message # 1

jamaa alinunua mbuzi, akampelekea mke wake na kumpa maelekezo kama ifuatavyo;

mke wangu huyu mbuzi akishachinjwa, nyama tutapika pilau, ngozi tutatengeneza ngoma. manyoya tutatengeneza mto wa kulalia, mapembe na mkia tutauza kwa mganga, tukishakula nyama mifupa tukaisage tutengeneze chakula cha kuku, utumbo tutapikia ndizi, kichwa tutachemsha supu.

mbuzi akamgeukia nakumwambia

"hutaki na sauti yangu ukaifanye ringtone katika simu yako?"

Jamaa alizimia palepale.
 
badshahDate: Sunday, 23/Jun/2013, 01:32 | Message # 2
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
hahahaha hiyo kali dada lol
 
SalhaDate: Saturday, 20/Jul/2013, 15:52 | Message # 3
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
aaahahahahaa mna vituko nyie, I like it
 
Miss_NeeluDate: Saturday, 20/Jul/2013, 15:55 | Message # 4
Sergeant
Messages: 26
Awards: 0
Reputation: 1
Status: Offline
hahahaha really good zulfa, nimeipenda hiyo smile
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Mbuzi na Jamaa
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: