[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Vichaa na Doctors
Vichaa na Doctors
badshahDate: Tuesday, 11/Jun/2013, 10:40 | Message # 1
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
Dokta wa vichaa aliwachukua machizi wawili na kuwaingiza kwenye chumba chenye
giza totoro.Akawasha tochi kisha akawaambia wale machizi wapande ule
mwali wa mwanga kisha waelekee makwao. Chizi wa kwanza akaanza kuurukia
ule mwali wa mwanga bila mafanikio huku chizi mwenzie akiwa anagaragara
chini hoi kwa kicheko.Yule dokta akamuuliza yule chizi ni kwanini
anacheka vile;yule chizi akamjibu:mi nimeshakustukia mpango wako,unataka
tukipanda huo mwali wa mwanga uzime tochi yako halafu sisi tuanguke
chini!

http://www.facebook.com/yahyuu
 
Miss_NeeluDate: Saturday, 13/Jul/2013, 16:09 | Message # 2
Sergeant
Messages: 26
Awards: 0
Reputation: 1
Status: Offline
hahahahahahaha
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » Vichaa na Doctors
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: