[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » MADAWA YA KULEVYA
MADAWA YA KULEVYA
AdminDate: Sunday, 13/Oct/2013, 17:10 | Message # 1
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Online
MADAWAYA KULEVYA

Madawa ya kulevya ni vitu ambavyo hutumiwa kwa njia ya kunywa, kula au hata kujichoma ambavyo
baada ya kutumia hubadili akili au fikra za mtumiaji kuwa tofauti ba
akili ya kawaida. Madawa haya hayatumiwi kwa lengo la kuleta tiba au
manufaa katika mwili bali hutumiwa kwa lengo la kujistarehesha tu. Mfano
wa madawa ya kulevya ni kama vile bangi, mirungi, pombe, cocaine na
kadhalika.

Kuna mambo mbalimbali ambayo humfanya mtu kujiingiza katika tabia hii ya
utumiaji wa madawa ya kulevya kama ifuatavyo:-

Read more at: http://staryte.com/publ....1-0-227

Copyright © Staryte Pro
Attachments: 6532094.jpg(108.6 Kb)
 
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » MADAWA YA KULEVYA
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: