[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na ni
Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na ni
AdminDate: Thursday, 19/Sep/2013, 17:21 | Message # 1
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Offline
Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi?






Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba
moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli. Kufeli kwa moyo ni hali mbaya
sana ambayo moyo hausukumi damu ipasavyo katika mwili. Upande wa kulia
wa mgonjwa au kushoto au hata kotekote kunaweza kuathirika.

Dalili zake hutegemea ni upande upi umeathirika na ni kwa kiasi gani kufeli kwa moyo
kumejitokeza.

Kutokana na baadhi ya wataalamu wa mambo ya moyo wameweza kueleza kwamba
kufeli kwa moyo ni "ukosefu wa kazi hii ya kusuma damu vizuri katika
mwili, hivyo pampu zinashindwa kuzungusha damu mwilini na matokeo yake
kuw ana msongamano mkubwa sana katika tishu (tissue).

Read more at: http://staryte.ucoz.com/publ....?lYF9bh

Copyright © Staryte Pro
 
allyPDate: Saturday, 21/Sep/2013, 11:05 | Message # 2
Sergeant
Messages: 27
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
interesting topic rah

I miss uuuuuuuuuuuuuuuu alllllllllll!!!! Am here for you friends
 
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na ni
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: