[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » JINSI YA KUEPUKANA NA CHUNUSI KWA HARAKA ZAIDI
JINSI YA KUEPUKANA NA CHUNUSI KWA HARAKA ZAIDI
AdminDate: Sunday, 15/Sep/2013, 23:14 | Message # 1
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: OfflineChunusi zimekuwa ni hali ya kawaida katika ngozi ambazo watu wengi sasa huathirika na hizo.
Hali hii ya kuharibika kwa ngozi hutokea pale matezi ya Sebaceous (oil
glands) yaliyokuwa katika ngozi huathiriwa na vijidudu, kuvimba na
kutunga usaha. Huonekana sana sehemu za usoni, shingoni, mgongoni na
hata kwenye mabega. Ingawa sio hali ya hatari kwa wanadamu lakini
chunusi huwafanya watu kuonekana wabaya kutokana na muonekano wake.

Katika maduka kuna losheni na madawa mengi san akwaajili ya kutibu chunusi, lakini inaweza kuchukua muda sana na hata baadaye ukashindwa
kugundua ni dawa ipi iliyokutibu kutokana na kutumia dawa hii na ile.

Hata hivyo kuna njia 7 za kiasili ambazo zinaweza kukusaidia katika kuondoa chunusi hizi kwa haraka sana.

Read more at: http://staryte.ucoz.com/publ....1-0-220

Copyright © Staryte Pro
 
allyPDate: Thursday, 26/Sep/2013, 00:14 | Message # 2
Sergeant
Messages: 27
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
thank u boss!

I miss uuuuuuuuuuuuuuuu alllllllllll!!!! Am here for you friends
 
Forum » HEALTH » ALL ABOUT HEALTH » JINSI YA KUEPUKANA NA CHUNUSI KWA HARAKA ZAIDI
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: