[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » EDUCATION » GENERAL EDUCATION » Kuchezesha katuni
Kuchezesha katuni
seifDate: Saturday, 20/Jul/2013, 18:43 | Message # 1
Lieutenant
Messages: 42
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Hivi jamanii hebu nisaidieni hawa katuni wanachezeshwaje? maana naona kila nikifikiria sielewi na halafu jinsi wanavyotembea utafikiri watu, huku bongo bado kabisa sasa sijui ni vipi.

Yes I can
 
allyPDate: Saturday, 20/Jul/2013, 18:46 | Message # 2
Sergeant
Messages: 27
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Bongo hawana dili ndo maana huoni watu wakihangaika kivile, wenzetu katuni moja tu mihela kibaaaao!!!!

I miss uuuuuuuuuuuuuuuu alllllllllll!!!! Am here for you friends
 
badshahDate: Monday, 22/Jul/2013, 13:07 | Message # 3
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
Ni program maalum ambazo zinatumika, kuna 2D na 3D.. 2D programms ni kama vile toonboom Studio, Moho, FlipBook n.k na 3D mi kama vile 3D max, Cinema 4D, anim8or n.k. kinachofany ahapa kusiwe na hilo ni kama alivyosema hapo allyP, kwamba hata ujue kufanya hivyo huwezi kufaidika kimaslahi, na vilevile hakuna vyuo vinavyofundisha animation kama wenzetu.
 
zulfaDate: Monday, 22/Jul/2013, 13:07 | Message # 4

Mi najua ila natumia Vijiti na kamba.
 
Forum » EDUCATION » GENERAL EDUCATION » Kuchezesha katuni
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: